Tunataka kufunza ulimwengu kuhusu Tor. Je, unaweza kusaidia?

Je, wewe ni mkufunzi wa Tor au ungependa kuwa mkufunzi? Je, unatafuta rasilimali ya kusaidia jumuiya yako kujifunza zaidi kuhusu Tor?Tumekushughulikia.

Kwa watumiaji wengine walio na miundo hatarishi, kufundisha Tor na zana zingine za faragha kunaweza kuwa hatari ikiwa haitafanywa kwa uangalifu. Ikiwa hii inaeleza kuhusu jumuiya yako au kama hauna uhakika, tafadhaliwasiliana na timu ta jumuiya yetu kwa usaidizi zaidi.

Mafunzo

Mazoezi bora ya Mafunzo

Good preparation is essential to an effective and safe training, so we've curated some resources to help you make the most of your training event.

Orodha hakiki ya mafunzo

Kulingana na mbinu zetu bora tuna orodha hakiki ya kukusaidia kujiandaa kuendesha mafunzo yako.

Rasilimali za mafunzo

Je, unafundisha jumuiya yako kuhusu kutumia Tor? Rasilimali hizi ni kwa ajili yako.

Miongozo ya usalama ya kidijitali

A set of short guides on topics related to Tor and digital security more broadly, to share during trainings or for personal learning.

Kanuni za maadili kwa wakufunzi

Kukuza mazingira salama ya kushiriki.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Mafunzo ya Tor

Watu ambao ni wapya kwa mradi wa Tor mara nyingi kabisa huuliza maswali kama hayo na tunaweza kukusaidia kujiandaa kwa maswali haya.

Hatari

Mambo unayopaswa kufahamu kabla ya kuendesha mafunzo ya usalama kidijitali.

Washiriki

Tangu 2018, tumeanzisha ushirikiano na mashirika yafuatayo.

Jiunge na Jumuiya

Uko na niaya kualika mtu kutoka Tor ili kufunza kikundi chako? Ingawa tunapokea maombi mengi ya mafunzo na huenda tusiweze kutoa mafunzo ya ana kwa ana bado tunaweza kusaidia. Wasiliana na timu ya jumuiya na tuzungumze.

Orodha ya barua za jumiuya